Milioni 710.7 zimetumika kujenga miundombinu ya Pori la Akiba Pande.

Serikali imetumia kiasi cha shilingi milioni 710.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya utalii ya Pori la Akiba Pande ili kuhakikisha kuwa pori hilo linaendelea kuwa kitovu cha utalii katika jiji la Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja ameyasema hayo  Bungeni jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Maliasili